Fumbo La Pesa Na Mali Zenye Furaha: SIRI Zinazowafanya Baadhi Ya Watu Kufurahia Pesa Na Mali, Huku Wengine Wakilia Na Kujuta
Zijue SIRI zinazowafanya baadhi ya Watu kufurahia Pesa na Mali, huku wengine wakilia na kujuta
\"Nikusihi usome kitabu hiki kwa kina, ujifunze mambo ya msingi yaliyojificha nyuma ya utafutaji wa pesa na mali, kisha uyaweke kwenye maisha yako. Kwa kuijua misingi hii, utaweza kuondoka kwenye mtego wa pesa, utakuwa tulivu iwe una pesa au huna pesa, kwa sababu unaijua misingi sahihi.
\"Moja wa watu ambao Lackson amewatumia kutufunulia SIRI zinazowafanya baadhi ya Watu kufurahia Pesa na Mali, huku wengine wakilia na kujuta ni Mfalme Sulemani, mtu tajiri kuliko wote kuwahi kuwepo hapa duniani. Sulemani aliweza kufikia ngazi hiyo ya juu kabisa ya utajiri, siyo kwa kuhangaika na pesa kama wengi wanavyofanya, bali kwa kuzijua SIRI zinazowafanya baadhi ya Watu kufurahia Pesa na Mali, huku wengine wakilia na kujuta.\"
Je na wewe ungependa kuzijua siri hizo?
Usiwe na shaka, zipo ndani ya kitabu hiki cha FUMBO LA PESA NA MALI ZENYE FURAHA.
Kisome sasa, elewa misingi sahihi na nenda kaiishi, hutasumbuka tena katika safari yako ya maisha.
Nikutakie kila la kheri katika safari hii ya kuwa na maisha bora yanayojengwa kwenye msingi sahihi.
By Kocha Dr Makirita Amani,
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza