Prompts 100 Za Kutumia Kuandika Vitabu Vizuri Kwenye CHATGPT
TUMIA HIZI PROMPTS Kupata Ideas, Kuchagua Idea Bora, Kupata Outline, Kuandika Chapters, Kufanya Editing Mwenyewe, Kupata Title Bora, Kuandika Blurb, Kufanya Marketing, Kujenga Brand Yako, n.k.
Katika ulimwengu wa sasa, uandishi wa vitabu bila kutumia AI kama CHATGPT ni sawa na kujaribu kulima ekari kumi za shamba kwa kutumia jembe la mkono wakati jirani yako anatumia trekta la kisasa.
Kila sekunde unayopoteza ukikodolea kioo cha kompyuta bila kujua uanzie wapi ni fursa inayopotea ya wewe kuwa mwandishi mwenye mafanikio makubwa duniani.
PDF hii ya PROMPTS 100 ZA KUTUMIA Kuandika Vitabu Vizuri KWENYE CHATGPT kimeundwa mahususi kukuondoa kwenye utumwa wa uandishi wa kizamani na kukupeleka kwenye uandishi wa kisasa wa kiwango cha juu.
Huu siyo tu mkusanyiko wa maelekezo bali ni mfumo kamili unaokupa uwezo wa kutumia mbinu kama AIM ambayo inakuwezesha kuipa AI uhusika wa mwandishi nguli ili kutoa kazi zenye ubora wa kimataifa. Utaweza kupata mawazo ya vitabu yanayouza zaidi hapa Tanzania na duniani kote pamoja na kutengeneza muundo wa sura kumi za kitabu chako ndani ya dakika chache.
Zaidi ya hayo utajifunza mbinu ya OCEAN inayofanya uandishi wako uwe na ladha ya binadamu inayovutia msomaji kuanzia ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho bila kugundua kuwa umetumia msaada wa teknolojia.
Hebu fikiria kuanza safari yako ya uandishi asubuhi na kufikia jioni uwe umeshakamilisha outline bora na kuanza kuandika sura za kwanza zenye mvuto wa kipekee.
PDF HII inakupa uwezo wa kufanya editing mwenyewe kwa kiwango cha kitalamu na kutengeneza blurb inayomlazimisha msomaji kubonyeza kitufe cha kununua. Utajenga brand yako kama mtaalamu wa non fiction na kufanya marketing ya kisayansi inayolenga kukuza kipato chako ukiwa umelala.
Hutahitaji tena kusubiri mzuka au msukumo wa kuandika kwa sababu utakuwa na funguo mia moja zinazofungua kila mlango wa ubunifu kwenye akili yako.
Ni wakati wa kuacha kuandika kwa tabu na kuanza kuandika kwa akili na kasi ya ajabu. Chukua HII PDF sasa hivi na uanze mchakato wa kugeuza mawazo yako kuwa kitabu halisi ambacho kitabadilisha maisha ya wasomaji wako na kuongeza thamani ya jina lako sokoni.
Kama unataka kuwa miongoni mwa asilimia moja ya waandishi wanaotumia akili artificial vizuri na kupata matokeo ya kishindo bonyeza hiyo button iliyoandikwa BUY NOW kupakua hii PDF sasa hivi.
Unaweza pia kujiunga na CHATGPT MASTERCLASS FOR AUTHORS kwa kupiga simu au kutuma ujumbe WhatsApp kwenda namba plus 255 764 793 105 ili upate mwongozo wa karibu zaidi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza