JINSI YA KUENDESHA MAHUSIANO YA MBALI
Mbinu za kuboresha na kukabiliana na changamoto za long distance relationship
Hiki ni kitabu bora kwa ajili ya kukusaidia wewe mwenye ndoa au mahusiano ya mbali kujua mbinu za msingi na muhimu kwa ajili ya kuboresha mahusiano yako.
Kitabu hiki kimebeba kesho yako bora ya mauhsiano yako ambayo haukuwahi kudhani kuwa utaweza kuwanayo.
Utakuwa mtu mwenye firaha na ustawi baada ya kumaliza kusoma kitabu hiki.
Ubora wa mawasiliano yako na mwenza wako yataimarika, ninkweli huwenda mlikuwa mnaongea kwa masaa kadhaa lakini kitabu hiki kitaongeza kina na utamu wa mawasiliano yenu ambao hamkuwqhi kuuonja kabla.
Karibu sana
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza