UFUNDI WA FEDHA
Zijue siri za maongezeko ya fedha yako
Katika kitabu cha UFUNDI WA FEDHA kuna mambo muhimu na ya dhahabu utakayojifunza kama vile;
1:: Maana ya fedha itakayokuhamasisha kuitafuta fedha Kwa zaidi.
2::Namna ya kuivutia fedha mikononi mwako na kuitunza isipotee tena.
3::Aina ya mtu unayepaswa kuwa Ili ufanikiwe kifedha.
4::kwanini unapaswa kuwekeza zaidi badala ya kuweka akiba?
5::kwanini ulimwengu tunaoishi unawafaidiasha wawekezaji kuliko waweka akiba?
6::fahamu mchakato wa kufikia uhuru wa kifedha.
7::Zijue kanuni 4 za kuitawala na kuimiliki fedha Kwa wingi.
8::Ufahamu mtaji na namna unavyohusika kwenye uzalishaji.
9:: mtaji sio lazima iwe fedha, zifahamu aina zingine za mitaji.
10:: Yajue makundi 5 ya watu wanaozalisha fedha. Jiangalie upo kundi gani na hnapaswa uchukue hatua gani?
11::Je unahitaji kuwa na fedha Ili uzalishe fedha? Jibu utakipata kitabuni.
12:: ufahamu unaopaswa kujua juu ya fedha zako zinazoingia na zinazotoka.
13::Zijue sehemu ambako fedha zimejificha na namna ya kuzifikia.
14::mambo 5 muhimu kuzingatia Ili uwe muwekezaji mwenye mafanikio
15::Zijue sheria 7 za maongezeko ya fedha.
16:: Zijue Siri za kukufanya uwe mjasiliamali mwenye mafanikio.
Na mengine mengi utajifunza kwenye kitabu hiki.