Best Seller
MATIBABU YA FIKRA
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 03, 2023
Product Views:
2,117
Sample
UFUNGUO WA KUFIKIRI ZAIDI YA KAWAIDA
Chanzo cha mafanikio yako ni fikra zako, hiwezi kufanikiwa zaidi ya fikra zako zilivyofanikiwa.
Hujawahi kuona watu wakishika mamilioni ya pesa lakini baada ya muda mfupi hawajui hata zilikopotelea, watu hawa wanajaribu kumiliki fedha wakati bado fikra zao ni duni haziwezi kumuliki chochote na kukitunza.
So kabla ya kutafuta mafanikio yoyote shughurika kwanza na fikra zako.
Ukiweza kufikiri kwa viwango vya juu ndipo vilivyojuu vitakapoambatana na wewe.
Kwenye kitabu hiki nitakufundisha namna ya kuwa mtu mwenye fikra zilizo zaidi ya kawaida ili uishi maisha yasiyo ya kawaida.