Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jicho La Kuona Fursa - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

JICHO LA KUONA FURSA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 18, 2026
Product Views:
3
In category:
Sample

JINSI YA KUFUNGUA AKILI IONE FURSA UNAZOZITAKA

Watu wengi huamini mafanikio ni bahati, lakini ukweli ni kwamba mara nyingi hukosa macho ya kuona fursa zilizowazunguka.

Kitabu hiki kitakufundisha namna ya kutambua fursa ambazo wengine huzipuuza, kubadili changamoto kuwa chanzo cha mafanikio unayoyatafuta, kuhamasisha uwezo wako wa kufikiri kimkakati, na kujenga mfumo wa kutengeneza thamani kutokana na mazingira uliyonayo.

Utajifunza kwa nini watu wawili wanaweza kuishi sehemu moja lakini mmoja akafanikiwa na mwingine abaki akilalamika tu kuwa hali si shwari, pamoja na kanuni zinazokuwezesha kuona, kutengeneza na kutumia fursa kwa mafanikio makubwa.

Ukimaliza kukisoma, hutautazama tena  ulimwengu wako kwa jicho lilelie, kwa sababu utaanza kuona milango ya mafanikio ambayo hapo mwanzo ilikuwa haionekani mbele ya macho yako.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold