JIFUNZE UANDISHI WA VITABU
Mbinu na muongozo wa kukusaidia kuwa mwandishi bora wa vitabu.
Kwenye kitabu hiki utajifunza vitu vingi vya muhimu ili uwe mmoja wa waandishi bora wa vitabu.
Baadhi ya vitu utakavyojifunza ni
Namna ya kupata mawazo bora ya kukiandaa kitabu chako. Namna ya kulitanua na kunenepasha wazo lako.
Namna na mchakato mzima ya kuliendeleza wazo lako na hatimaye kikazaliwa kitabu ulichokikusudia.
Mna ya kuuza kitabu chako katika namna zote mbili yaani katika nakala laini na nakala ngumu. Utajifunza soko la vitabu vyako liko wapi.
Utajifunza namna ya kupata hatimiliki ya kitabu chako, utajifunza namna ya kuandika jina la kuvutia na lenye ushwishi la kitabu ,
N.k
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza