
MWANAMKE NI NANI
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 16, 2022
Product Views:
55
Sample
Upande usioufahamu kuhusu mwanamke
Usiwe tu mwanamke unayehitaji kuwa na mwanaume!
Kuwa mwanamke ambaye mwanaume anahitaji na kutafuta kwa shauku kubwa kuwa naye. Mwanamke wa thamani.
Ongeza thamani yako mwanamke, wanaume huwekeza sehemu wenye shauku nazo,
Kuna upande ambao unapaswa kuufahamu kuhusu Mwanamke ambao Mwanamke akiufahamu hata baki kama alivyokuwa mwanzo.