SIRI YA KUUSHINDA UPWEKE
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 13, 2025
Product Views:
17
Sample
Muongozo wa vitu vya kufanya ili kuukabili na kuubadilisha upweke kuwa fursa.
Upweke ni hali inayoumiza sana moyo, huu ni ukame ndani ya mtu. Sasa nimekuandalia ndani ya kitabu hiki maana ya upweke ili uuelewe vizuri zaidi ya ulivyokuwa unaufahamu mwanzo, ujue kwanini umekuwa mpweke na huwezi kujitoa kwenye ombwe hilo. Na namna ya kuutumia upweke kama fursa na mwisho kuuondoa ndani yako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza