MAMNA YA KUTADE KAMA INSTITUTIONAL - Swahili Version
Kitabu The Institutional Trader’s Guide: Candlestick Psychology & Market Structure kinaelezea mantiki ya harakati za bei kwa mtazamo wa institutional trading. Kinamfundisha trader jinsi ya kusoma candlestick kwa undani, kutambua market structure, na kuelewa footprint ya smart money. Lengo lake ni kumsaidia trader kufanya maamuzi sahihi, yenye uthibitisho wa soko, badala ya kutegemea indicator au hisia.
The Institutional Trader’s Guide: Candlestick Psychology & Market Structure ni mwongozo wa kitaalamu unaoelezea jinsi taasisi (institutions) zinavyoendesha masoko ya fedha. Kitabu kinachambua kwa kina saikolojia ya candlestick, market structure, na mienendo ya liquidity ili kumsaidia trader kuelewa sababu halisi za bei kusogea. Kimeandikwa kwa mtazamo wa kitaalamu, kikiwa na mifano ya vitendo, na kinamlenga trader anayetaka kuacha trading ya kubahatisha na kuanza kufanya maamuzi kwa mantiki ya soko la kitaasisi.
\\\\\\\\\\\\\\\\r\\\\\\\\\\\\\\\\n
Mwandishi: Rewald Kimaro (GBFX)