
Mambo 9 Ya Kuzingatia Wakati Wa Kupanga Bei Ya Kitabu Chako
Jinsi Ya Kupanga Bei za vitabu kwa Usahihi.
BEI YA KITABU INAWEZA KUKUPA WATEJA WENGI SANA AU IKAKUONDOLEA WATEJA.
- Lackson Tungaraza
Binafsi, kuna wakati nilikuwa natumia nguvu kubwa kuuza kitabu changu fulani kwa TSH
5,000 lakini sikuweza kupata wateja wengi.
Lakini nilipoamua kupandisha bei na kuanza kukiuza kwa TSH 10,000 nikaanza kupata
wateja wengi.
Kingine nikawa nakiuza kwa TSH 10,000 na kupata wateja wengi sana... Ila nilipoamua
kupandisha bei na kuanza kukiuza kwa TSH 19,000 wateja wakapungua sana.
Na kingine ninakiuza TSH 50,000 na wateja wapo wa kutosha – hawalalamikii bei kabisa.
Wanakinunua kwa furaha na tabasamu kubwa.
Kwa hiyo, BEI INA MCHANGO MKUBWA SANA katika kufanya kitabu kiuzike sana au kidorore sokoni (kikose wateja).
Katika Ebook ya MAMBO 9 YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA BEI YA KITABU CHAKO nimekutafunia mambo 9 ambayo ukiyazingatia wakati wa kupanga bei ya kitabu chako, basi huenda ukawa na nafasi kubwa sana ya kufanikiwa sokoni Zaidi ya waandishi wenzio wanaopuuzia elimu ya namna hii.
Bonyeza button ya BUY NOW hapo juu kulipia na kupata hii PDF (softcopy) haraka.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza