Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jinsi Ya Kuandika Maelezo Ya Nyuma Ya Kitabu Kwa Usahihi Ili Upate Wateja Wengi Wa Vitabu Vyako - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Jinsi Ya KUANDIKA MAELEZO YA NYUMA YA KITABU Kwa Usahihi Ili Upate WATEJA WENGI WA VITABU VYAKO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh. 4,900 Tsh.
Discount Code : I20866x
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 07, 2025
Product Views:
1,258
In category:
Sample

Andika kwa Usahihi eneo la KUHUSU MWANDISHI na eneo la KUHUSU KITABU CHAKO kwa usahihi kuvutia wateja sahihi wa vitabu vyako.

MWANDISHI, Je huwa unapata shida katika kuandika maelezo kuhusu kitabu na kuhusu mwandishi kwenye cover la kitabu chako? Yaani, about the author and about the author?



Ndani ya eBook hii utajifunza:



1. Siri 9 za kuandika "book description" itakayomvutia msomaji kutamani kununua kitabu chako. 



2. Jinsi ya kutumia “emotional triggers” ili msomaji ahisi ana hitaji kitabu chako.



3. Njia rahisi ya kuandika “About the Author” hata kama bado hujulikani sana (hata kama wewe ni mwandishi chipukizi).



4. Makosa 5 ya kawaida ambayo waandishi wengi huyafanya na jinsi ya kuyaepuka wakati wa kuandika maelezo ya kuhusu kitabu na kuhusu mwandishi kwenye cover la kitabu chako.



5. Mifano halisi ya "Book description" na “About the author” iliyoandikwa kwa usahihi ili uitumie kama mwongozo wakati wa kuandika ya kwako ili usikosee ukakosa wateja.


Bonyeza button ya BUY NOW hapo juu kulipia na kupata hii PDF sasa hivi ndani ya sekunde 5 ujisomee kwa smartphone yako ukiwa popote pale duniani bila KUSUMBUKA.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold