PROPAGANDA ZA MAHUSIANO
Taarifa zinazoteketeza mahusiano yako bila kujalisha kiasi gani mnapendana.
Mambo muhimu utakayojifunza ndani ya kitabu.
1. Kufunua propaganda zilizojificha ndani ya mahusiano na ndoa.
2. Kusaidia msomaji kutofautisha kati ya upendo wa kweli na propaganda za hisia.
3. Kuwaamsha waliopo kwenye mahusiano wasiangamizwe kimya kimya na uzushi wenye sumu ya kuharibu.
4. Kuwasaidia walioumizwa na mahusiano kutokana na lawama, aibu na propaganda walizoziamini.
5. Kujenga uwezo wa kufikiri kwa kina kabla ya kuamini ushauri wa mahusiano.
6. Kuvunja imani za jamii zisizo na ukweli kuhusu mapenzi na ndoa.
7. Kurejesha na kutambua thamani ya mtu binafsi ndani na nje ya mahusiano.
8. Kumsaidia wasomaji kufanya maamuzi ya mahusiano kwa uelewa na si kwa msukumo wa hisia tu.
9. Kukuza mahusiano yenye afya.
10. Kuweka msingi wa mahusiano yanayojengwa juu ya ukweli na si propaganda.