Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jinsi Ya Kupata Book Title Nzuri Ya Kuuzia Kitabu Chako - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Jinsi Ya Kupata Book Title Nzuri Ya Kuuzia Kitabu Chako

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh. 4,900 Tsh.
Discount Code : C53253y
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 07, 2025
Product Views:
8
In category:
Sample

Jinsi ya kuja na Book Title Nzuri itakayokusaidia Kuuza Kitabu Chako kirahisi sana sokoni

Watafiti wanasema ndani ya sekunde 3 tu, msomaji anaamua kama atanunua kitabu au atapita tu. 



Na Zaidi ya 60% ya Wasomaji hufanya maamuzi kwa kuangalia tu BOOK TITLES (majina ya vitabu). 



Hii ikiwa na maana moja tu kwamba, Jina Zuri litauza kitabu, na jina baya litaua mauzo ya kitabu kizuri.



Je, huwa unahangaika kutafuta majina ya kuvutia (Book Titles) kwa ajili ya vitabu vyako?



Unaandika vitabu vizuri, lakini kila jina unalowaza linakosa mvuto na msisimko moyoni mwako? 



Sasa yatosha. Usiendelee tena kukisia. eBook hii imebeba suluhisho la tatizo lako!



Mwaka juzi Nilikutana na mwandishi mmoja (Mzungu) alikuwa ameandika kitabu kizuri sana kuhusu afya ya wanawake. 



Alikuwa amekiweka kitabu chaKe Amazon, lakini hakuweza kupata WATEJA kwa miezi 3. 



Baada Ya kuongea nae, niligundua shida yake ipo kwenye eneo moja tu tofauti na yeye alivyokuwa akidhani. 



Content yake ilikuwa nzuri sana. Ila Shida ilikuwa ni kwenye Book Title tu.



Tulikaa Kwa muda wa Dakika 60, tukatumia mbinu zilizomo ndani ya eBook hii kubadili jina la kitabu chake. Miezi miwili baadaye, kitabu chake kilianza kuingia kwenye bestsellers list ya niche yake!



Kumbe miezi yote ya mateso ilikuwa inasababishwa tu na Jina la kitabu chake.



Pengine na wewe naye ni kama yeye. Una kitabu kizuri sana, lakini unaponzwa na jina ulilokipatia.



Ndani ya eBook hii utajifunza;



1. Mifano ya majina ya vitabu vinavyofanya vizuri sokoni.


2. Wakati gani sahihi wa kupata jina la kitabu chako.


3. Njia 3 za kutumia ili uweze kupata jina ZURI la kitabu chako.


4. Mambo 4 ya Kuzingatia unapotafuta jina la kitabu chako.


5. Makosa ya kuepuka wakati wa Kuchagua jina la kitabu chako.


6. Sifa za jina Bora la kitabu (a good book title). Kama jina la kitabu chako halina hizi sifa, hakikisha unalibadilisha sasa hivi.


7. Shuhuda za waandishi wenzio walioanza kupata mauzo makubwa ya vitabu baada ya kuboresha BOOK TITLES tu.


Bonus: JINSI YA KUPATA SUB-TITLE YA KITABU CHAKO.


Bonyeza button ya BUY NOW hapo juu kulipia na kupata hii PDF sasa hivi ndani ya sekunde 5 ujisomee kwa smartphone yako ukiwa popote pale duniani bila KUSUMBUKA.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold