
KIKAO CHA HAKI
Price:
1,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 26, 2025
Product Views:
12
Sample
Simulizi fupi ya mapenzi na maisha.
Haujawahi kuwa mchezo salama kabisa.
Ni mchezo ambao kama ukiucheza na hauzijui kanuni zake...basi utapata majuto na maumivu.
Ni kama fumbo gumu ambalo halijawahi kuwa rahisi kufumbua. Ni kitendawili kigumu ambacho hata ukipewa mji uende na urudi na majibu yake bado ungeshindwa tu.
Ni mchezo wa mapenzi.
Yaliyowakuta hawa wapendanao wawili, kila mmoja akiwa na hoja zake- hadithi za kusikilizwa. Kilifanyika kikao... Hatutamlaumu mwanamke baada ya kuisikiliza hadithi ya upande mmoja tu wa mwanaume. Tutataka kuisikiliza pia hadithi ya mwanamke.
Hii ndio haki.
Sold by: Godfrey Ngaleya
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza