
MIFUMO YA MAFANIKIO
UBONGO ni kama TUMBO, tumbo lisipopata chakula na maji hakuna jambo litaendelea, vivyo hivyo kwa ubongo bila maarifa utabakia kuwa mtu wa kawaida waida na ili uondoke kwenye ukawaida waida basi ni lazima USOME VITABU.rnrnMara kadhaa tumesikia FULANI amefanikiwa, VIJANA hawafanikiwi kwa sababu hawawezi kujiajiri, WAAJIRIWA hawafanikiwi kwa mafao ya uzeeni kwa sababu ya kukosa elimu ya fedha ama kutojiandaa na maisha baada ya kazi, na maneno mengine yanayofanana na hayo kuhusu mafanikio.rnUlishawahi jiuliza ;rn°Mafanikio ni nini?rn°Ili uonekane umefanikiwa unatakiwa kuwa na vigezo gani? rn°Kwanini unataka kufanikiwa? rn° Ukishafanikiwa ili iweje? rnrnKitabu cha MIFUMO YA MAFANIKIO kitakusaidia kufahamu maswali hayo na mengine mengi bila kusahau AINA ZA MIFUMO ya mafanikio kwani hakuna mafanikio bila mifumo. rn°Sasa je, hivyo mifumo ni ipi? rn°Utaipata wapi? rn°Inafanyaje kazi? rnUsikose kununua nakala hii ili kupata ufumbuzi wa hayo yote. rnrnKwanini uombee mifumo ya mafanikio yako?rnrnMtu akitaka kukupiga katika VITA, hakupigi wewe moja kwa moja bali atapiga mifumo yako inayokufanya upande viwango hata viwango. rnrnMACHO kazi yake ni kuona lakini DAMU ikivilia jichoni lazima jicho lishughulikiwe kupata ufumbuzi wa tatizo. rnrnUBONGO unategemea damu ili kufanya kazi lakini damu hiyo hiyo ikivilia katika Ubongo lazima mashaka yawe ndani ya nyoyo za ndugu zako. rnrnMfumo wa CHAKULA unategemea damu, lakini DAMU hiyo hiyo ikionekana kwenye kinyesi madaktari watahakikisha wanajua shida ni nini.rnrnKitu kinachokufanya ubakie katika nafasi uliyopo sio uwezo wako wala CV yako bali ni kutokana na aina ya mfumo uliopo, hujaona uwezo wako huo huo na CV hiyo hiyo lakini Kuna mahali huwezi pata nafasi? rnUnajua ni kwanini? Sababu ni moja ,.... aina ya mfumo uliopo kule hauendani na uwezo wako wala CV yako.rnrnHivyo ili ufanikiwe ni lazima kuitambua mifumo yako ya mafanikio pamoja Kuiombea kabla adui hajakuwahi kwani akikuwahi ataishambulia mifumo yako isifanye kazi. rnrnSasa nitumie wasaa huu kukualika kupata nakala hii ya kitabu kwa kuzingatia taratibu zinazoonekana kwenye simu / lap top yako. rnNa Mungu akubariki kwa uamizi wako wa kuchagua maarifa sahihi katika wakati sahihi, nimekuombea, Amen.rnrnKwa mawasiliano zaidi piga 0621669761rnWhatsApp 0715374445.
UBONGO ni kama TUMBO, tumbo lisipopata chakula na maji hakuna jambo litaendelea, vivyo hivyo kwa ubongo bila maarifa utabakia kuwa mtu wa kawaida waida na ili uondoke kwenye ukawaida waida basi ni lazima USOME VITABU.
Mara kadhaa tumesikia FULANI amefanikiwa, VIJANA hawafanikiwi kwa sababu hawawezi kujiajiri, WAAJIRIWA hawafanikiwi kwa mafao ya uzeeni kwa sababu ya kukosa elimu ya fedha ama kutojiandaa na maisha baada ya kazi, na maneno mengine yanayofanana na hayo kuhusu mafanikio.
Ulishawahi jiuliza ;
°Mafanikio ni nini?
°Ili uonekane umefanikiwa unatakiwa kuwa na vigezo gani?
°Kwanini unataka kufanikiwa?
° Ukishafanikiwa ili iweje?
Kitabu cha MIFUMO YA MAFANIKIO kitakusaidia kufahamu maswali hayo na mengine mengi bila kusahau AINA ZA MIFUMO ya mafanikio kwani hakuna mafanikio bila mifumo.
°Sasa je, hivyo mifumo ni ipi?
°Utaipata wapi?
°Inafanyaje kazi?
Usikose kununua nakala hii ili kupata ufumbuzi wa hayo yote.
Kwanini uombee mifumo ya mafanikio yako?
Mtu akitaka kukupiga katika VITA, hakupigi wewe moja kwa moja bali atapiga mifumo yako inayokufanya upande viwango hata viwango.
MACHO kazi yake ni kuona lakini DAMU ikivilia jichoni lazima jicho lishughulikiwe kupata ufumbuzi wa tatizo.
UBONGO unategemea damu ili kufanya kazi lakini damu hiyo hiyo ikivilia katika Ubongo lazima mashaka yawe ndani ya nyoyo za ndugu zako.
Mfumo wa CHAKULA unategemea damu, lakini DAMU hiyo hiyo ikionekana kwenye kinyesi madaktari watahakikisha wanajua shida ni nini.
Kitu kinachokufanya ubakie katika nafasi uliyopo sio uwezo wako wala CV yako bali ni kutokana na aina ya mfumo uliopo, hujaona uwezo wako huo huo na CV hiyo hiyo lakini Kuna mahali huwezi pata nafasi?
Unajua ni kwanini? Sababu ni moja ,.... aina ya mfumo uliopo kule hauendani na uwezo wako wala CV yako.
Hivyo ili ufanikiwe ni lazima kuitambua mifumo yako ya mafanikio pamoja Kuiombea kabla adui hajakuwahi kwani akikuwahi ataishambulia mifumo yako isifanye kazi.
Sasa nitumie wasaa huu kukualika kupata nakala hii ya kitabu kwa kuzingatia taratibu zinazoonekana kwenye simu / lap top yako.
Na Mungu akubariki kwa uamizi wako wa kuchagua maarifa sahihi katika wakati sahihi, nimekuombea, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0621669761
WhatsApp 0715374445.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza