Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Wakati Unasubiri - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

WAKATI UNASUBIRI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 23, 2024
Product Views:
107
In category:
Sample

Miaka ya usingo si miaka iliyolaaniwa bali ni miaka ambayo Mungu amekupa kama zawadi ili utengeneze kesho yenye hatma njema.

Ndoa ni ya maana sana kwenye maisha ya mwanamke yoyote lakini ndoa si kila kitu . Mtu hapati thamani kwasababu tu ameolewa  bali dunia humpa  thamani mtu  kwasababu ya thamani aliyoileta kwenye maisha ya wengine.

Ukitaka kuthaminika kwenye huu ulimwengu lazima uhakikishe kuwa umegusa maisha ya watu na kufanyika majibu kwenye matatizo yao.

Na hauwezi kuwa na majibu ya matatizo ya watu kama usipoishi ndnai ya kusudi la maisha yako,ndio!Kusudi la maisha yako ndilo limebeba kila kitu kuhusu wewe na watu wanaokuzunguka.

Badala ya kuhangaika kutafuta mwanaume wa kukuoa kama binti hakikisha jambo la kwanza unalopambana kulipata ni kuishi ndani ya maisha Mungu aliyokukusudia yaan maisha ya kusudi.

Ndoa inaweza ikawa chanzo cha mafanikio yako ama la kulingana na uchaguzi utakaoufanya wakati unasubiri lakini jambo ambalo haliwezi kukusaliti kamwe ni maisha ya kusudi maana kadiri utakavyopambana ndivyo milango itakavyofunguka zaidi kwa ajili yako.

Binti na mwanamke ambaye haujaolewa bado hakikisha wakati huu wa kusubiri unajenga misingi bora itakayokufaa sasa na kesho.

Hakikisha unajua thamani yako na kuilinda,simama kwenye nafasi yako ,kuwa mtu unayemtumikia Mungu,fanya kazi kwa bidii na tengeneza misimamo yako itakayokuongoza kwenye maisha yako.

More Products On Discount
6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: Nelson Ebong

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

5,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: RAMV MRUMA

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold