
JIFUNZE UANDISHI WA VITABU HADI KUWA MBOBEVU
JIFUNZE UANDISHI WA VITABU HADI KUWA MBOBEVU ni kitabu kilichokuja kujibu tatizo la watu wengi wenye NDOTO kubwa ya kuandika kitabu au Vitabu LAKINI hawajui pa kuanzia AU wanaishia NJIANI
JIFUNZE UANDISHI WA VITABU HADI KUWA MBOBEVU
Ni kitabu kilichokuja kutibu haja ya watu wengi NDOTO kubwa ya kuandika vitabu.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa kuzingatia misingi mizuri ya kiuandishi ambayo inakuwezesha wewe mwenye shauku ya kuandika lakini hujui uanzie wapi, AU ulishaanza lakini ukaishia njiani kutokana na ugumu uliokutana nao. Kupitia kitabu hiki nakuhakikishia utakuwa na uwezo mkubwa sana wa kuandika vitabu vyako vingi vikiwa BORA ndani ya muda mfupi.
UBONGO ni kama TUMBO, tumbo usipolipatia chakula basi tegemea mwili kukosa nguvu, vivyo hivyo kwa UBONGO, UBONGO ukikosa chakula chake cha vitabu basi tegemea kukosa nguvu ya HOJA zakukubalika mbele za watu wengine.
Sasa ili kuepuka dharau hii hakikisha unajua nakala hii ukaulishe UBONGO wako madini mazuri ya kudumu vizazi na vizazi, unaweza jinunulia wewe, watoto, ndugu na jamaa ikiwa kama zawadi maalumu kabisa kwao.
Karibu sana, ikiwa unapata changamoto kulipia kitabu hiki basi usisite kuwasilisha nami kupitia 0715374445.
Hongera kwa Uchaguzi mzuri wa kupata nakala hii .
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza