Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Choba - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

CHOBA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
15,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Apr 08, 2026
Product Views:
11
In category:
Sample

KILA BINADAMU NI MKONO WA MUNGU WA KUPITISHIA BARAKA KWA MWINGINE

Kijana Choba akiwa kwenye mhangaiko ya uhutaji akakutana na Mzee Juma aliyempa chai na sehemu ya kujenga kibanda. Zaidi mno wote wawili wakaamua kuishi pamoja kila mmoja kumwondolea mwenzake upweke. Tokea hapo zikawatokea baraka zilizowafanya kuwa watu wenye nacho. Na kama haikutosha Choba akaishia kuwa mkwe kwa Mzee Juma kwa kumwoa Jesca binti Juma.

Bonge baada ya kukutana na maangamizi yaliyowakumba wazazi wake na jamaa walioishi nao, alihisaniwa na mkuu wa Chuo alikosoma ambaye aliichukua nafasi ya mzazi na mafadhili kwa mwathirika huyu. Urithi alioachiwa Bonge akautumia vyema kwa kuwaendeleza Choban a Jesca binti Juma katika elimu aliyowawezesha kuchukua nafasi za juu za ajiria katika miradi aliyoanzisha.

CHOBEMICO, Kampuni ya madini iliyoasisiwa na Choba na Benson (Bonge) imekuwa chombo cha ukombozi wa yatima hawa na mwendelezo wa wale wote waliokuwa na mahusiano nao. Zaidi mno ilisaidia kumpatia Choba mke mwema na sherehe ya harusi iliyokuwa na karamu kubwa ya kimataifa

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
150,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold