WATU 60 WALIOSHINDWA KARIBIA KWENYE KILA KITU NA BADO WAKASHINDA KWA KISHINDO
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 20, 2024
Product Views:
98
Sample
Watu 60 Walioshindwa Karibia Kwenye Kila Kitu Na Bado Wakashinda Kwa Kishindo
Kitabu hiki kinakupa kwa undani ukweli wa maisha ya watu 60 ambao kwa hakika walishindwa karibia kwenye kila kitu walichofanya. Lakini watu hawa hawakukata tamaa, hawakurudi nyuma wala kuyumbishwa na kitu chochote. Waliendelea kusongambele na baadaye wakaweza kufanya makubwa.
Ni kitabu ambacho na wewe unapaswa kukipata, tena haraka sana.