Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Maajabu Ya Kuweka Akiba - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

MAAJABU YA KUWEKA AKIBA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 30, 2020
Product Views:
4,409
In category:
Sample

Jinsi Tabia Ya Kuweka Akiba Inavyoweza Kukufanya Tajiri

Tangu umezaliwa mpaka leo hii, ni unaposhika kitabu hiki mikononi mwako ni wazi kuwa fedha nyingi tayari zimepita mikononi mwako. Hivi laiti ungekuwa umeweka utaratibu wa kuwa unatoa kiasi kidogo kwenye kile ambacho unapokea na kukiweka kama akiba, unadhani leo hii ungekuwa na kiasi gani?

Niliwahi kumwuliza dada mmoja swali hili hapa, akawa amefikiri kwa muda, kisha akaniambia, “Loo! Ningekuwa na fedha nyingi sana”. Bila shaka na wewe utakuwa na majibu kama hayo ambayo huyo dada alikuwa nayo.

Kila mtu huwa anapokea fedha kwa viwango tofauti, japo kiasi ambacho unapokea sasa hivi kinaweza kuonekana kidogo. Lakini ukiweka utaratibu wa kuweka akiba kutoka kwenye hicho  kidogo, ni wazi kuwa itafikia hatua ambapo hicho kidogo kitakuwa kikubwa.

Ni imani yangu kuwa baada ya kuwa umesoma kitabu hiki hapa, utachukuka hatua na kuanza kuweka akiba bila ya kuchelewa. Nipo nafikiri tu kuwa kwa mfano, ukimfundisha mtoto wako misingi ambayo utajifunza humu ni wazi kuwa mpaka anakuja kufikisha miaka 18 au 20 basi atakuwa ameweka akiba ya kutosha kumfanya hata aweze kujilipia ada ya chuo kikuu bila kuhitaji mkopo wa chuo. Na kwa sababu atakuwa amejenga msingi imara basi ni wazi kuwa bado kiasi zaidi kitakuwa kinazidi kuingia kwake.

 

More Products On Discount
More Products From This Seller
10,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold