HATUA 15 MUHIMU ZA KUFUATA ILI KUANDIKA KWENYE MAGAZETINI
Kuna kitu ninakijua kuhusu wewe
Najua ungependa kuandika kwenye magazeti na hivyo kufanya maandishi yako yawafikie watu wengi. Lakini je, unawezaje kuandika kwenye magazeti? ni hatu agani ambazo wewe unapaswa kufuata ili kuweza kufikia hii hatua ya kuandika kwenye magazeti? na je, ukishapata nafasi ni vitu gani unapaswa kufanya.
Nimekuandalia ebook hii ikiwa ni maalumu kwa ajili yako. ndani ya ebook hii utakutana na hatua 15 za kufuata ili uweze kupata nafasi ya kuandika kwenye magazeti. Siajishia hapo tu, ndani yake nimeeleza kuwa haupaswi kuwa mwandishi maarufu wa magazeti mwenye mfuko ulionuna. badala yake kuna mbinu nimekueleza za kukusaidia kutengeneza fedha kupitia hao wasomaji wako wa magazetini. Chukua hatua sasa ili upate ebook hii ya kipekee sana.