NGUVU YA KUCHUKUA HATUA YA KWANZA
Kwenye hiki kitabu, unaenda kujifunza NGUVU YA KUCHUKUA HATUA YA KWANZA, na kwa nini unapaswa kumaliza kila unachoanza
YALIYOMO
Nikola Tesla, anafahamika kama mtu ambaye alikuwa na wazo la awali kabisa la kutengeneza redio. Siyo tu alikuwa na wazo bali hilo wazo lake alianza kulifanyia kazi na hatimaye hilo wazo akawa ameweza kulileta kwenye uhalisia. Akatengeneza redio ambayo ilikuwa ya kwanza kabisa. Ila cha kushangaza ni kwamba hakuchukua hatua ya kwenda kusajili wazo lake pamoja na kifaa ambacho alikuwa ametengeneza. Mwisho wa siku, jamaa mwingine ambaye anafahamika kama Marconi, alichukua hatua mara tu baada ya kuwa amepata wazo na kwenda kulisajili. Siku Tesla anaenda kusajili wazo lake ambalo alikuwa ameshakaa nalo kwa miaka mingi, tayari alikuwa amechelewa muda kidogo tu. Endelea kusoma kwa kujipatia nakala ya Kitabu hiki........