IJUE NA KUITUMIA NAFASI YAKO YA MLINZI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
Kitabu hiki cha pekee kitakuongeza ufahamu na maarifa kuhusu nafasi aliyopewa mtu ya kuwa Mlinzi kiroho na namna ya kutumia nafasi hiyo ili kuleta matokeo yaliyokusudiwa kwenye ulimwengu wa mwili.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza mambo yafuatayo;
- Tafsiri na majukumu ya mlinzi katika ulimwengu wa roho
- Mahitaji na wajibu wa mlinzi kwa nafasi ya mwombaji
- Mambo muhimu kwa mlinzi kufanya katika kutekeleza wajibu wake
- Tahadhari za kukusaidia usiingie kwenye kundi la walinzi vipofu
- Namna unavyoweza kutambua wito wako kama mlinzi
- Maeneo mbalimbali yanayohitaji kuwa na walinzi
- Namna ya kuyatazama mambo kwa jicho la ufalme wa nuru
Karibu ununue kitabu hiki kwa kubonyeza sehemu ya ‘Buy now’ ili ujipatie ufahamu na maarifa husika. Pia kwa kufanya hivyo utakuwa umechangia kazi ya uandishi wa\r\nvitabu vingine ambavyo Patrick Sanga anaendelea kuviandika.
Licha ya uandishi wa vitabu, Patrick Sanga ni mwandishi wa masomo ya neno la Mungu na mengine mahususi kuhusu Roho Mtakatifu, vijana, wanawake, ndoa na siku za mwisho nk. Ikiwa utapenda kusoma masomo hayo, tafadhali tembelea blogu za www.sanga.wordpress.com na www.sanga.co.tz
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Lackson Tungaraza