UFAHAMU NA UFUNUO KUHUSU ROHO MTAKATIFU
Ufahamu kuhusu Roho Mtakatifu ni kitabu kinacho mtambulisha Roho Mtakatifu ili umjue, umwamini na kisha kumpa nafasi kama Msaidizi aweze kuyaongoza maisha yako katika shauri la Bwana.
Ndani kitabu hiki cha pekee utajifunza mambo yafuatayo:
Ndani kitabu hiki cha pekee utajifunza yafuatayo:
(a) Ubatizo wa Roho Mtakatifu na kazi za Roho Mtakatifu
(b) Mazingira hatarishi ya kuepuka katika kufanya kazi na Roho Mtakatifu
(c) Jihadhari usimzimishe Roho Mtakatifu
(d) Mwili wako ni hekalu la Roho Mtakatifu hivyo mpe heshima kupitia mwili wako
(e) Kunena kwa lugha kunavyoweza kuleta matokeo mazuri zaidi yakuomba kwako
(f) Hitaji na umuhimu wa kuwa na mahusiano mazuri na Roho Mtakatifu sambamba na njia za kukusaidia kujenga na kuboresha mahusiano mazuri na Roho Mtakatifu.
Kwa hakika, kupitia kitabu hiki utapata ufahamu na ufunuo wa kipekee kuhusu Roho Mtakatifu kwa namna ambayo ulikuwa hujamjua bado. Karibu ununue kitabu hiki na hivyo kuchangia huduma ya uandishi wa vitabu vingine vya Mwalimu Patrick Samson Sanga.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza