Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jinsi Ya Kujiajiri - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

JINSI YA KUJIAJIRI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 09, 2023
Product Views:
232
In category:
Sample

Kujuajiri ni haki yako. Ndio namna watu walivyokuwa wakiishi KABLA YA AJIRA RAMSI KUANZISHWA (kipindi cha mapinduzi ya viwanda). Kujiajiri sio kitu kilichoshindikana kwako.. ila tu HAUNA TAARIFA SAHIHI, KAMILI na ZENYE UWEZO WA KUKUPA NAFASI kuona fursa, kujiamini na kutimiza malengo yako.Tumia kitabu hiki kurudisha miaka mingi iliyopotea bure!

Kama unahisi kujiajiri imeshindikana kwako, ni habari njema kwa ajili yako!

Sijui kama unafahamu MFUMO ulichakachuliwa ili watu wengi wawe tegemezi..

Dini, Shule na Vyombo vya habari zilianzishwa kimkakati ili KUTAWALA AKILI ZA WATU.

Lengo lilikuwa, kuwafanya watu wengi zaidi tegemezi. Kwa sababu kipindi hicho (wakati mifumo inatengenezwa..) hakukuwa tofauti na sasa.

Waliokuwepo madarakani walikuwa waogopa wa kupoteza nafasi. Na walikuwa na sababu nyingi za kutaka kulinda nafasi zao. Moja ilikuwa ni kuloea kwenye namna ya kuishi kwa dhulma - hawakutaka kufanya kazi, ila waliishi vizuri kutokana na UJINGA WA WENGI WALIOKUWA WANAFANYA KAZI..

Hivyo siasa iliyotumika ni ku \" BRAINWASH WATU.. \" kufutilia mbali kila idea ya kutaka uhuru, kupata kujitawala na kujiona wanastahili - na kuwapandikizia FIKRA DHAIFU.

Tatizo kubwa hadi leo??? MFUMO HAUJABADILIKA..

Elimu ni ile ile, Dini ni ile ile, na Habari ni zilezile..

Yote ni kwa ajili ya ku control mawazo yako, na kuongoza mawazo yako!

UNATAKA KUCHOMOKA HAPO? unahitaji kitu cha toafuti..

Nina uhakika KITABU HIKI, itakuwa moja kati ya hatua zako za muhimu sana ulizofanikiwa kupiga - kuelekea KILELE CHA MAFANIKIO YAKO!

More Products On Discount
10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: Nelson Ebong

5,000 Tsh. 2,000 Tsh.

Sold by: ELIAS MBUJILO JOSEPH

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.
(0.6)

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold