SIRI 7 ZA KUMLINDA MTOTO NA UKATILI
Mwongozo wa vitendo kwa wazazi na walezi kuhusu namna ya kumlinda mtoto dhidi ya ukatili na kumfundisha kujilinda.
JE MTOTO WAKO AKIKUTANA NA HALI HATARISHI, ATAJUA CHA KUFANYA?
Kumwambia mtoto jilinde peke yake haitoshi. Mzazi anahitaji kujua nini cha kumfundisha, namna ya kumfundisha na nini cha kufanya au kutofanya.
NDANI YA KITABU HIKI UTAPATA:
1. SIRI 7 MUHIMU za kumfundisha mtoto kuhusu kujilinda dhidi ya ukatili.
2. MWONGOZO WA SIKU 7 wenye hatua za kufuata siku hadi siku katika kumfundisha mtoto.
3. NAMNA YA KUMFUNDISHA MTOTO kwa lugha rahisi anayoielewa na kuitumia.
4. NINI CHA KUFANYA NA NINI CHA KUTOFANYA unapomfundisha mtoto kuhusu usalama.
5. BONUS CHAPTER yenye mambo ya ziada ya kuzingatia katika kuongeza usalama wa mtoto.
KWANINI UKINUNUE?
Mtoto hafundishwi kama mtu mzima. Mwongozo huu utakusaidia kujua namna ya kuzungumza na mtoto kuhusu usalama kwa njia rahisi na ya vitendo.
Ni SOFT COPY (PDF), unaweza kusoma kwenye simu yako muda wowote unaokufaa.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza