Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jinsi Ya Kuongeza Thamani Yako - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 26, 2023
Product Views:
752
In category:
Sample

KUHUSU KITABUrnSisi binadamu ni viumbe ambao tunapenda kuthaminiwa, kuheshimiwa na tunataka watu watambue uwepo wetu. Ukienda kwenye mkutano au kwenye sherehe fulani, wakiwatambulisha watu wote halafu wakakuacha wewe bila kukutambulisha, ni wazi utajisikia vibaya na pengine utasema kwamba wamekudharau.rnAu ukienda sehemu watu na wote wakapewa vinywaji na chakula, halafu ukasahaulika wewe, ni wazi kuwa wewe mwenyewe utang’aka. Ila upande mwingine wa shilingi, ni kuwa ukienda sehemu watu wakatambua uwepo wako, wakakupa heshima zote. kama ni vinywaji wewe ukapewa kwa kipaumbele, utafahamu kuwa hawa watu wamenithamini, na pengine utataka na wengine wajue hilo.rnThamani ni kitu muhimu sana ambacho unahitaji kuwa nacho. rnKwenye kurasa za kitabu hiki unaenda kujifunza namna ambavyo unaweza kuongeza thamani yako zaidi.rnMbinu unazoenda kujifunza kwenye kitabu hiki zitakusaidia kuongeza thamani yako mara mbili mpaka mara kumi zaidi.

Naomba nieleweke kwamba ninaposema kuongeza thamani yako simaanishirnkwamba, utaongeza thamani kwa kuwa mrembo zaidi. Wala simaanishi kwambarnutaongeza thamani kwa kupata followersrnzaidi mtandaoni, na wala simaanishi kwamba unaongeza thamani yako kwa kuwarnmrefu, mfupi, mtu wa miraba minne, mweusi, mweupe au maji ya kunde! Endapo hayornyatatokea, basi tutashukuru pia kuwa yametokea.

rnrn

Bali haswa namaanisha kuongeza thamani yako kwa kulipwarnzaidi. Ukitumia mbinu zilizoainishwa kwenye hiki kitabu, utakuwa na uwezo wa kulipwa mararnmbili mpaka mara kumi zaidi. Hivi kwa mfano, unaanzaje kuacha kutumiarnmbinu hizi ili uweze kulipwa zaidi ya unavyolipwa sasa hivi?

More Products On Discount
10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: Nelson Ebong

3,999 Tsh. 1,999 Tsh.

Sold by: Daudi Lubeleje

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

9,000 Tsh. 7,500 Tsh.

Sold by: MTALIMBO BOOKS

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold