
ZAMA ZIMEBADILIKA: MAISHA YAMEBADILIKA, AJIRA HATARINI NA WEWE BADILIKA
Zama zimebadilika, maisha yamebadilika, ajira hatarini na wewe badilika.
rnrn
Mara ya kwanza kabisa nilipofikiriarnkuandika kitabu, kitabu kilichokuja kwenye akili yangu kikiwa cha kwanza,rnkilikuwa ni hiki cha ZAMA ZIMEBADILIKA: MAISHA YAMEBADILIKA, AJIRA HATARINI NArnWEWE BADILIKA.
Lakini huwezi amini, nimeandika vitaburn19 sasa na ninakuja kutoa kitabu hiki kikiwa cha 20. Kila mara nimekuwarnnikiandika kitabu hiki na kufikia hatua ya mwisho ya kukitoa na baadayernkujiambia kwamba kitabu hiki bado hakijawa tayari, hivyo nikawa nasitisharnkukitoa kwanza.
Kuna wakati nilikitangaza kwa karibiarnmwezi mzima, watu wakaweka oda ya kupata kitabu kabisa, ila baadaye baada yarnkukipitia nikahisi kama kitabu bado hakijakamilika.
Siku moja wakati naongea na kocha wangu,rnaliniambia kwamba hakuna kazi yoyote ile ya sanaa ambayo huwa imekamilika kwarnasilimia 100. Badala yake kazi za sanaa huwa zina mwanya wa kuendelezwa zaidi.
Leo hii nafurahi kuwa baada ya mudarnwaote huo wa kukiandika na kukiacha pembeni kwanaza na kukiandika tena,rnhatimaye kimekamilika na sasa
rnrn
unaweza kukisoma.
Karibu sana uweze kusoma kitabu hiki,rnnaamini mwenyewe utakipenda.
Asante