KANISANI KUNA NINI HASA
Price:
12,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 21, 2024
Product Views:
467
Sample
KANISANI KUNA NINI HASA? nikitabu ambacho kimeseheni maarifa mengi kuhusu imani kwanini tunaenda kanisani? yamkini umeenda kanisani ukakutana na muujiza wako lakini kuna mwingine hajakutana nao unadhani shida iko wapi? soma kitabu hiki kitakuonyesha mambo mengi sana nakukufunguwa fahamu zako.
Je tunaenda makanisani kutafuta miujiza? kwanini Mungu tunamtafuta wakati wa shida peke yake? Je Mungu tunamfanya kuwa wamatukio? kwa kiasi kikubwa kitabu hiki kimejikita kuangalia mambo mengi ambayo yatakusaidia kujuwa maana ya kanisa nasiyo tafsiri ya kanisa fuatilia kitabu hiki.