MATENDO MAKUU YA MUNGU
Price:
8,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 15, 2023
Product Views:
1,400
Sample
Hiki ni kitabu kinachoonyesha jinsi mungu alivyo katika maisha yetu ya kila siku katika mazingira yetu haijarishi unakutana na magumu kiasi gani Ila mungu bado yunasi, Na kamwe hatuachi matatizo na changamoto zinaweza kukufanya uhisi mungu hayuko nawewe sio kweli yeye yuko nawewe na hatokuacha.
Tunaishi katika Matendo Makuu ya Mungu kila siku uzima wetu, Amani ya mioyo yetu, uumbaji wa Dunia hii bado ni Matendo Makuu ya Mungu. Matendo hayo yametamalaki kila mahali wewe unashuhudia nini katika Matendo Makuu ya Mungu katika maisha yako? fuatilia kitabu hiki.