Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Suluhu Ya Amani Duniani - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

SULUHU YA AMANI DUNIANI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 05, 2023
Product Views:
526
In category:
Sample

Suluhu ya amani duniani ni kitabu kinacho lenga kuelimisha na kuchambua masuala kuhusu amani. Amani inatakiwa duniani kote, nilazima kuhubiri amani kwa mataifa ambayo yanaonekana kuwa na migogoro mingi kitabu hiki kinaenda kutoa suluhu ya mambo hayo kwa kina. Amani ndani ya jamii na familia zetunikitabu muhimu na kamwe kitabaki katika fikra za watu wengi, hivyo kitabu hiki ni muhimu kwaajili ya jamii ya kitanzania na ulimwengu kwa ujumla kufahamu suluhu la Amani.

Amani ndio kila kitu katika  maisha haya hakuna Amani hakuna uchumi mzuri na jukumu la kulinda Amani mahali popote pale nijukumu la kila mmoja siyo vyombo vya ulinzi na uslama peke yake. unapo soma kitabu hiki utaenda kujifunza hata raia wakawaida nawewe unamchango gani katika kudumisha Amani fuatilia kitabu hiki.

More Products On Discount
More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold