Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nisaidie Kumzika - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

NISAIDIE KUMZIKA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
8,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 27, 2022
Product Views:
532
In category:
Sample

Patrick na Jonathan ni mtu na rafiki yake,japo Jonathan alikua anaishi na maambukizi ya virusi vya UKIMWI.siku moja wakiwa ofisini Jonathan alipagawa na kuanza kujirusha huku na huku,Patrick aliamua kumsaidia rafiki yake.Lakini Jonathan alimuuma Patrick pembeni ya kidole mkono wa kulia,ikabidi Patrick aanze dawa za kuzuia maambukizi ya virusi vya UK I MW I.rnWakati hayo yote yanatokea Penina mke wake na Patrick alikua ameenda kujifungua kijijini kwao Endasiold huko Manyara.Patrick na Jonathan wakiwa bado kazini Penina alirudi nyumbani kwa surprise na kukuta kopo la dawa za ARV likiwa na vidonge viwili tu.rnPenina akimtazama mwanae mdogo kwa hasira akaamua kujiua,Patrick anapata kesi ya kumuua mke baada ya mashuhuda kuthibitisha hilo.Patrick akiwa gerezani anamwambia rafiki yake Jonathan ujumbe mzito NISAIDIE KUMZIKA mke wangu,Japokua mimi na wewe hakuna mwenye kosa.

rnrn

Patrickrnna Jonathan ni mtu na rafiki yake,japo Jonathan alikua anaishi na maambukizi yarnvirusi vya UKIMWI.siku moja wakiwa ofisini Jonathan alipagawa na kuanzarnkujirusha huku na huku,Patrick aliamua kumsaidia rafiki yake.Lakini Jonathanrnalimuuma Patrick pembeni ya kidole mkono wa kulia,ikabidi Patrick aanze dawa zarnkuzuia maambukizi ya virusi vya UK I MW I.

rnrn

Wakatirnhayo yote yanatokea Penina mke wake na Patrick alikua ameenda kujifunguarnkijijini kwao Endasiold huko Manyara.Patrick na Jonathan wakiwa bado kazinirnPenina alirudi nyumbani kwa surprise na kukuta kopo la dawa za ARV likiwa narnvidonge viwili tu.

rnrn

Peninarnakimtazama mwanae mdogo kwa hasira akaamua kujiua,Patrick anapata kesi yarnkumuua mke baada ya mashuhuda kuthibitisha hilo.Patrick akiwa gerezanirnanamwambia rafiki yake Jonathan ujumbe mzito NISAIDIE KUMZIKA mke wangu,Japokuarnmimi na wewe hakuna mwenye kosa.

rnrn

More Products On Discount
25,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Msafiri Lwihula

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 6,000 Tsh.

Sold by: Nelson Ebong

98,000 Tsh. 60,000 Tsh.

Sold by: Prophet Pd John

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

Best Sellers List
Best Seller
2,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
Old is Gold