Kwaheri Chuo Kwaheri Mafanikio Chuo Sio Kwa Kila Mtu
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 25, 2022
Product Views:
964
Sample
Kwaheri Chuo Kwaheri Mafanikio Chuo Sio Kwa Kila Mtu
Uhalisia wa maisha baada ya chuo ni tofauti na dhana wanazozipata wahitimu wawapo chuoni. Maisha ya chuo yapo tofauti sana na maisha halisi katika jamii. Ufahamu wa wanafunzi kuhusu maisha watakayoishi baada ya kumaliza chuo na uhalisia wa maisha watakayokutana nayo umeacha ombwe kubwa katikati. Hii hupelekea wahitimu wengi wa elimu za juu kushindwa kufanya vizuri katika kazi wanazofanya. Kutokana na uhalisia kwamba wanataka kuishi maisha waliyoyaamini wakiwa chuoni kwamba ni haki yao wakati kwa uhalisia dunia haitowi maisha hayo.