Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Deni La Dhahabu - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

DENI LA DHAHABU

0.4
2
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
20,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 29, 2020
Product Views:
2,101
In category:
Sample

Hujazaliwa kulipa bili na kuondoka, dunia inahitaji alama yako.

Mafanikio hayachagui watu. Watu ndio wanachagua kufanikiwa au kutokufanikiwa. Mafanikio yana kanuni zake ambazo yeyote akizifuata, haijalishi ni dini gani, jinsia gani wala elimu gani mafanikio yanampokea. Kama una matatizo au changamoto katika maisha yako, tambua kwamba kuna kitu hakiko sawa na ili changamoto hiyo iondoke lazima ufanye kitu ambacho kitabadilisha changamoto hizo kuwa fursa. Wakati watu waliofanikiwa wanatumia mikopo kufanikiwa zaidi, mikopo hiyo ni changamoto kubwa inayowasumbua watu wa hali ya chini kuliko hata magonjwa. 

huwezi kuwa na lengo la kufanikiwa kiuchumi kama bado umekumbatia madeni mabaya. ili ufanikiwe lazima ulipe madeni haya wakati unawekeza kwa ajili ya mafanikio tarajiwa. kitabu hiki kitakupa mwongozo wa jinsi ya kulipa madeni yako yote bila kujali ni kiasi gani na kuwekeza katika miradi na mali zitakazokuingizia kipato kuelekea mafanikio yako ya kiuchumi.

Watu wengi wameishi kwenye utumwa muda mrefu, wanatamani kujitoa katika hali hiyo lakini wanashindwa kulipa gharama ya uhuru wanao utamani. Mafanikio hayana majadiliano, yanakutaka uchague kufuata kanuni na ufanikiwe au uendelee na visingizio vya siku zote na ubaki unalipa bili mpaka uzeeni. kitabu hiki ni usafiri kuelekea katika uhuru wa kiuchumi.

More Products On Discount
15,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 3,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

15,000 Tsh. 10,000 Tsh.

Sold by: Denis Jonas Msangi

25,000 Tsh. 20,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

More Products From This Seller
15,000 Tsh.

Sold by: Gastor Mtweve

20,000 Tsh.
(1.8)

Sold by: Gastor Mtweve

Best Sellers List
Best Seller
100,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(42.4)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

5,000 Tsh.

Sold by: Counselor David

Old is Gold
10,000 Tsh.

Sold by: Ezekiel Vigello

5,000 Tsh.

Sold by: Upendo Kitundu

10,000 Tsh.

Sold by: RAMV MKWAWA

1,000 Tsh.

Sold by: Jabir Khamis