JINSI YA KUINGIZA PESA KUPITIA CANVA
Je, unajua unaweza kutumia simu au kompyuta yako kutengeneza DESIGNS za matangazo, posters, na kazi nyingine ambazo watu na biashara wanahitaji?
Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ajili yako unayetaka kujifunza jinsi ya kuingiza pesa kupitia Canva, hata kama wewe ni beginner na hujui chochote.
Utajifunza nini?
- Jinsi ujuzi wa Canva unavyoweza kutumika kutoa huduma kwa watu binafsi na biashara.
- Kuona fursa za kutumia ubunifu wako katika biashara na masoko ya mtandaoni.
- Kuanza kufikiria Canva kama ujuzi unaoweza kukuza na kuutumia kutafuta wateja.
Usiishie kutumia Canva kutengeneza picha kwa ajili ya kujifurahisha pekee. Jifunze namna ujuzi huo unavyoweza kutumika kutengeneza huduma zenye thamani... na watu wakaanza kukulipa!
Lipia... upate PDF yako uanze kukisoma sasa!
.
.
.
.
.
Angalizo: Kitabu hiki ni mwongozo wa kujifunza, si ahadi ya kupata kipato fulani. Matokeo hutegemea ujuzi, mazoezi, mahitaji ya soko na juhudi zako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza