
GHARAMA YA MAFANIKIO
Price:
11,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 28, 2022
Product Views:
1,994
Sample
Kitabu hiki kinafungua macho yako kwenye ukweli ambao wengi wanaupuuza: Mafanikio ni gharama. Sura ya kwanza inakufunza gharama hizo moja kwa moja—si kwa kutisha, bali kwa kukuandaa kisaikolojia.
Sura ya pili inakupa mambo manne ya msingi ya kuzingatia kama kweli umeamua kulipa gharama ya mafanikio. Hapa ndipo utajua kama uko tayari au unajidanganya.
Kisha tunamalizia na somo nyeti: Connection & Network. Hii ni sura ya tatu—na ni moja ya nguzo kuu zinazotofautisha wanaosonga mbele na wanaokwama. Dunia ya sasa bila connection hutoboi.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza