Mtandao Wa Ajabu
Karibu kwenye ulimwengu wa HUMANIEN, viumbe wa ajabu wenye nasaba ya binadamu na Alien. Dunia iko hatarini kushambuliwa na waasi kutoka Mars, na suluhisho pekee liko mikononi mwa hackers wachache na viumbe hawa walioungana kwa lengo moja: kuikomboa dunia.
Simulizi inaanza saa sita za usiku... Daniel Hacker, kijana wa miaka 19 kutoka Dar es Salaam, anapokea ujumbe wa kutisha kutoka kwa asiyejulikana. Anaitwa kuingia kwenye mtandao ambao si wa kawaida bali ni lango la mapambano makubwa dhidi ya uovu usio wa kawaida.
Je, watafanikiwa kuokoa dunia? Usikose kusoma huu msururu wa mikasa na vituko vya kisasa kitabu hiki ni adventure ya digital sci-fi ya aina yake.
Soma sasa!!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Godius Rweyongeza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza