
Best Seller
YAFAHAMU MAWAZO 60 YA BIASHARA
Price:
2,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 05, 2021
Product Views:
5,741
Sample
Matajiri wengi hufanya vitu vikuu viwili. Moja, UWEKEZAJI. Mbili, Uanzishaji wa Biashara.
Huna mtaji? Au unamtaji lakini hujui biashara ya kufanya? Kitabu hiki kimeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni orodha ya moja kwa moja bila maneno mengi ya zaidi ya mawazo 60 ya biashara unazoweza kuanzisha hapa Tanzania, kwa mtaji mdogo au wa kati.
Ni mwongozo mfupi, wa haraka, na wa vitendo. Matajiri wengi huanzia kwenye hatua kama hizi: kuchagua wazo moja, kulifanyia kazi, na kulikuza. Maybe, You are the next Richest Man in the Country... anza hapa!
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza