
Best Seller
FYUCHA CEO
Price:
Discount Code : G14202o
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 09, 2023
Product Views:
3,292
Sample
Kama una ndoto ya kuwa CEO MILIONEA...
Au kama unajiona tofauti, una kiu ya mafanikio makubwa, basi hiki si kitabu cha kawaida... ni kama mwanga wa safari yako ya kuwa MAMILIONEA wa kweli.
FyuCha CEO ni mwaliko rasmi kwa kijana mwenye ndoto kubwa—ndoto ya kuwa CEO anayemiliki maisha yake, pesa zake, na maamuzi yake.
Ndani utakutana na sifa 6 muhimu za CEO wa mafanikio, siri 7 zinazotumiwa na mabilionea duniani, na maamuzi 5 ya kila siku yanayowatofautisha na watu wa kawaida. Je, uko tayari kuamka kama boss na kuishi kama boss? Karibu FYUCHA CEO – Kimeandikwa kwa ajili yako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza