
Wasaka Mafanikio
Price:
3,997 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 18, 2022
Product Views:
2,367
Sample
Mafanikio ni Kanuni.
Kitabu hiki kinaanza kwa kukuuliza swali la msingi: Wewe ni nani, na una kusudi gani? Hapo ndipo safari ya kweli huanza. Kama na wewe ni msaka mafanikio halisi, basi hiki ni kama dira ya maisha yako.
Moja ya kanuni kubwa unayojifunza hapa ni "ANZA SASA, ukiwa na NIA sahihi." Ndiyo maana jina TANZANIA lina maneno haya mawili ndani yake—kama ishara ya kuwa mafanikio yetu yapo mikononi mwetu, tukichukua hatua kwa moyo na kusudi.
Mafanikio ni Kanuni — na kila msaka mafanikio lazima azijue, azikumbatie, na azifanyie kazi. Karibu uendelee kusoma, kujifunza, na kukua pamoja nami.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza