MAENEO 3 YA KUWEKEZA KWA MTOTO
Ni kitabu chenye kuelezea maeneo muhimu ambayo mzazi anatakiwa kutilia mkazo katika kumsaidia mtoto kuwa mfano bora katika jamii na kwenye familia na hata katika maisha yake binafsi mbali na wazazi.
Pia kinawasaidia vijana walio shuleni kuweza kujisimamia na kuwekeza katika maeneo hayo muhimu 3 ambayo yatawasaidia kujitambua wao ni kina nani na wanatakiwa kufanya nini hapa duniani. Na kuyafanya maisha yao kuwa na maana mbele za Mungu na mbele za wanadamu wenzao kwa kuwa watakuwa wanatambua makusudi ya Mungu katika maisha yao na kuyaishi. Watakuwa msaada mkubwa kwa wengine wanaowazunguka, msaada kiroho, kimawazo na hata kifedha pia.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Godfrey Ngaleya