
JIFUNZE FOREX KWA NJIA RAHISI
JIFUNZE FOREX NDANI YA SIKU 30 JUA NAMNA YA KUTRADE KAMA PROFFESIONAL TRADER NA KWA NJIA RAHISI
1. *Kimejengwa kwa Lugha Rahisi ya Kiswahili*
Hata mtu asiye na elimu ya kiingereza anaweza kuelewa kila somo kwa urahisi.
Kinaeleza maneno magumu kama Order Block, Liquidity, FVG, nk kwa mifano rahisi ya maisha ya kawaida.
2. *Kinafundisha Misingi Imara Kabisa*
Kuanzia maana ya Forex, tofauti na biashara nyingine, hadi kuelewa candlestick patterns, market structure, na aina za lot.
Kila hatua imeelezwa kwa mpangilio mzuri wa kufuatilia bila kuchanganyikiwa.
3. Kinafundisha Mbinu za Kitaalamu (Pro Strategies* )
Kinaelezea kwa undani mbinu kama ICT (Inner Circle Trader) na SMC (Smart Money Concepts) ambazo hutumiwa na traders wa hali ya juu.
Maelezo ya Order Blocks, Fair Value Gaps, Break of Structure, Liquidity Zones n.k. yameandikwa kwa ufasaha.
4. Kinaelekeza Hatua kwa Hatua jinsi ya Kuingia kwenye Trade
Kwa mfano, jinsi ya kutumia SMC + ICT kufanya scalping, timeframe gani kutumia, na jinsi ya kutafuta entry point salama.
Kinafundisha risk management, psychology ya trading, na timeframes bora za kutrade.
*5. Bonus ya Fibonacci Strategy*
Kimeongeza somo la Fibonacci Retracement na jinsi ya kuchora viwango vya reversal – hii ni silaha ya ziada kwa pro-level confirmation.
*Kwa Nini Kinafaa kwa Beginner* ?
Kinaanza na msingi, kisha kinaenda kwa kina.
Kina mchanganyiko wa elimu ya msingi + advance.
Kinaelekeza kwa mifano ya “real market situations.”
Kinaweza kutumika kama "kitabu cha rejea" kila wakati unapotrade.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza