BUSTANI YANGU
Price:
20,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Mar 07, 2024
Product Views:
718
Sample
Bustani ni Afya,Bustani ni Kipato, Bustani ni Burudani. Anzisha leo bustani iwe sehemu ya afya,kipato na burudani katika maisha yako.
Kitabu hiki kimelenga kuchangiza jitihada za familia kuchangamkia fursa za uzalishaji wa mbogamboga kwa gharama nafuu kwa ajili ya chakula na kujiongezea kipato. Kinaweza kutumika katika ngazi ya kaya na shule katika kutoa elimu ya kilimo cha bustani za mbogamboga.
Vilevile, kimelenga kusaidia wanawake na vijana wasio na ajira kuanzisha uzalishaji wa mbogamboga. Bustani ni Afya,Bustani ni Kipato, Bustani ni Burudani. Anzisha leo bustani iwe sehemu ya afya,kipato na burudani katika maisha yako.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza