Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Usiteseke Tena - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

USITESEKE TENA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 26, 2022
Product Views:
989
In category:
Sample

Hekima ya kuyakabili maumivu yote ya hisia

Kila mtu kuna mambo fulani aliwahi kuyapitia 

au kuna mambo yaliwahi mpata kwenye maisha 

yake ambayo yaliacha maumivu na uchungu 

kwenye moyo wake.

Kuna mambo magumu ambayo yaliralua maisha 

yetu kiasi kwamba tukiyakumbuka lazima 

machozi yatoke, mambo mengine ni magumu 

huwezi hata kusimulia.

Kuna wakati unaona kama unazidiwa uwezo 

kabisa na unaona hakuna mwelekeo 

unaoonekana wa kutatua hilo tatizo lako. Moyo 

wako u taabani unavuja na kujisikilizia 

maumivu makali.

Leo nimekuandalia kitabu hiki nikusaidie 

kwenye wakati huo ulionao mgumu. Nitakupa

mbinu za namna ya kuchomoka kwenye gereza na kuwa huru kufurahia maisha yako tena.

Baadhi ya vitu vya muhimu utakavyojifunza kwenye kitabu cha USITESEKE TENA.


1:: *MTAZAMO UTAKAO KUSAIDIA KIPINDI UMEBAKI PEKE YAKO, KIPINDI AMBACHO HUONI MTU AKIWA UPANDE WAKO.*

2::*MAMBO YA MUHIMU KUYAFAHAMU UNAPOKATALIWA, NA MANMA YA KUSHINDA KIPINDI HIKI KIGUMU.*

3::*KWANINI HUPASWI KUJUTA NA NAMNA YA KUYAKABILI MAJUTO.*

4:: *ELIMU ITAKAYOKUSAIDIA ENDAPO UKIKOSEA.*

5::*LIFAHAMU TATIZO LINALOENDELEZA NA KUKUZA  CHANGAMOTO  ZAKO.*

6:: *KWANINI UNAPASWA KUWAACHA WATU WAENDE NA HUNA HAJA YA KUWANG\'ANG\'ANIA TENA.*

7::*NAMNA YA KUIPATA FURAHA YAKO TENA BAADA YA KUIPOTEZA.*

8::*UFANYEJE KWA VITU VILIVYOPOTEA NA KUONDOKA KWENYE MAISHA YAKO.*

9:: *KANUNI ZA  KUKUSAIDIA KUEPUKA MAUMIVU*.

10::*VITA GANI UNAPASWA UPIGANE.*

11:: *AINA ZA WATU MUHIMU WATAKAO PITA KWAKO NA NAMNA YA KUFAIDI HAZINA ZILIZO NDANI YAO*

12:: *NAMNA YA KUPONYA VIDONDA VYA KUACHWA NA MTU WAKO ULIYEMPENDA SANA*

13:: *NANMA YA KUKATA MINYOLOLO YA TESO LA MAMBO YALIYOPITA*

14:: *KWANINI UTESEKE WEWE BADALA YA ADUI ZAKO*

Na mengine mengi , karibu

More Products On Discount
30,000 Tsh. 20,000 Tsh.

Sold by: Lackson Tungaraza

5,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: RAMV MRUMA

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Martin Tindwa

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold
10,000 Tsh.

Sold by: Joseph Hoja

2,000 Tsh.

Sold by: Dickson John

20,000 Tsh.

Sold by: Aminatha Twahir

7,000 Tsh.

Sold by: Wendy Chomola

2,000 Tsh.

Sold by: Stan Luwanda