DARASA LA SABA: 7 DAYS TO EXAM SUCCESS
Mwongozo wa siku saba wenye mbinu rahisi za kumjenga mwanafunzi, kuondoa hofu na kuongeza nafasi ya kufaulu mtihani
DARASA LA SABA: 7 DAYS TO EXAM SUCCESS
Mwongozo Maalum wa Kumsaidia Mtoto Kusoma kwa Akili, Kudhibiti Hofu na Kufaulu Mtihani
Mwandishi ameandaa mwongozo huu kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wanafunzi wa Darasa la Saba katika siku za mwisho kabla ya Mtihani wa Taifa—ikiwemo hofu, msongo wa mawazo, kusoma bila mpango, kukariri majibu na kushindwa kutumia muda vizuri.
Kupitia kitabu hiki, mwandishi anaahidi kumpa mwanafunzi mbinu rahisi na za vitendo za kusoma kwa akili (Study Smart), kudhibiti hofu, kujibu maswali kwa usahihi na kujenga uelewa badala ya kutegemea kukariri.
Kwa mzazi, mlezi, ndugu au jamaa, hiki ni kitabu cha kumpa mtoto zaidi ya kumwambia “soma kwa bidii.” Ni mwongozo wa kumpa mbinu, kujiamini na utulivu katika kipindi muhimu cha maandalizi.
Mpatie mtoto wako kitabu hiki leo. Kisome pamoja naye, mshirikiane katika maandalizi, na msaidie kuingia kwenye mtihani akiwa tayari, mwenye kujiamini na mwenye matumaini ya kufaulu