Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Naomba Niambie Ukweli - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

NAOMBA NIAMBIE UKWELI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 19, 2025
Product Views:
32
In category:
Sample

Katika ulimwengu unaozidi kupenda picha za rnkutengenezwa kuliko uhalisia, maneno kuliko rnvitendo, na vicheko vya bandia kuliko kilio cha rnkweli, katika ulimwengu huu ukweli umekuwa adui wa wengi. rnWatu wanauvaa uongo kama vazi la heshima, rnwanatengeneza maisha bandia kwenye mitandao, wanakimbilia kutaka kuaminika kwa maneno badala ya kuwa waaminifu kwa vitendo. rnKatika mazingira haya kusema ukweli ni kama kupanda mlima wa mawe bila viatu, ni kazi ngumu na inaumiza, lakini ikimalizika hutoa heshima ya milele kwa mkweaji.rnKitabu hiki cha Naomba niambie ukwelirnsijakiandika kwa ajili ya watu wote,bali kwa ajili ya wale wachache wanaotaka kuvua ngozi ya unafiki na kuvaa uhalisia.rnNimekiandika kwa ajili ya wale wanaojua kuwa rnmaumivu ya ukweli ni nafuu kuliko starehe za rnuongo. rnNi kwa ajili ya wale ambao bado wanaamini kuwa rndunia inahitaji watu wakweli, hata kama rnhawataonekana wakivutia kwenye kundi la watu, rnlakini wanajua hakuna jamii iliyojengwa kwenye rnmsingi wa uwongo na ikafanikiwa kuwa na mwisho rnmwema.rnSiku hizi ukweli unaonekana kama uzembe wa rnkiakili.rnWengi wanaogopa kusema ukweli kwa hofu ya rnkupoteza marafiki, nafasi, heshima, au mapenzi. rnLakini ni ukweli pekee ndio unaojenga msingi wa rnmaisha yenye amani. rnKatika ulimwengu wa leo ukweli haujapewa nafasi rnkubwa lakini niamini mimi hakuna mtu anayeweza rnkuufuta utoweke. Isipokuwa madhara ya uongo rnyatakuja kutukumbusha umuhimu wake.

More Products On Discount
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

GetValue Recommendations
Old is Gold