MEDE
FIKRA CHANYA, MTAZAMO CHANYA, UTHUBUTU
MASWALI YA MSINGI KUJIULIZA
Mimi ni nani, nimetoka wapi na kwa kusudi gani? Nataka kutimiza nini katika maisha yangu? Nataka kuwa mtu wa aina gani katika maisha yangu na jamii inayonizunguka? Maono yangu yako wazi, yanafanikiwa, yanaelezeka, yanaeleweka? Nasukumwa na maono yangu namna gani kufikia picha kubwa niliyoiona? Hayo na mengine mengi yanaweza kuwa ni baadhi tu ya maswali yanayoweza kukupa msukumo katika kutambua, kutafakari na kuyafanyia kazi maono yako.
“nakaza mwendo niifikie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo Yesu”
Pasipo maono watu huacha kujizuia,
Pasipo maono endelevu watu hupotea,
Pasipo maono endelevu watu hukaa hovyo!
.............................
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza