Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Ufumbuzi Wa Fumbo La Maumivu Ya Mahusiano - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

UFUMBUZI WA FUMBO LA MAUMIVU YA MAHUSIANO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 24, 2026
Product Views:
123
In category:
Sample

SULUHU YA MATATIZO 15 YA MAHUSIANO

Kitabu hiki nimekiandaa kwa ajili ya kukusaidia kuelewa chanzo halisi cha maumivu unayopitia kwenye mahusiano na namna ya kuyashinda kwa maarifa sahihi.

Kimebeba ufumbuzi wa changamoto 15 +2 bonus zinazowasumbua watu wengi, kama vile kushindwa kumuacha anayekuumiza, kupuuzwa na mwenza, kushindwa kukubali ukweli, kuogopa mahusiano mapya, wivu uliopitiliza, kutokujiamini, kutosamehe usaliti, pamoja na changamoto nyingine nyingi zinazoumiza mioyo ya watu.

Badala ya kutoa ushauri wa juu juu, kitabuni  nimeeleza chanzo cha kila tatizo, madhara yake na hatua za vitendo zinazoweza kukusaidia kujenga mahusiano yenye afya, heshima na amani iliyo na utulivu.


Karibu sana

More Products On Discount
More Products From This Seller
9,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

4,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

9,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

9,999 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

10,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,500 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

7,000 Tsh.

Sold by: Emmanuel Minga

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold