JICHO LA FURSA Linavyokuletea Pesa Iliyojificha
Kama Unataka Kuwa wa Tofauti ni lazima Ufanye jambo la tofauti,rnJICHO LA FURSA Linavyokuletea Pesa Iliyojificha Ndio kimebeba njia Zote unazozihitaji ili Uweze Kujitofautisha na Wengine Kisha uanze Kupata Pesa Iliyojificha.
Katika Kutambua Fursa Kuna jambo Moja Kubwa na la Muhimu Sana ambalo limejificha na Wengi hawajalitambua,
Hili hapa...
"Kinachotukosesha Fursa siyo Uhaba wa Fursa Bali ni Upeo Mdogo wa Kubaini VYANZO vya Fursa"
Siku Zote Fursa inakuwa Nyuma ya Chanzo na hicho Chanzo Ndio huzalisha Pesa Iliyojificha.
Ili Kuweza Kutambua Kwa Urahisi Fursa Nyingi zilizopo ni lazima utambue Vyanzo na haya Yote Ndio haswaa niliyokuwekea kwenye Kitabu hiki.
Na hii ndio Nafasi ya Pekee Kwako Kukipata Kitabu hiki leo,
Kuchelewa kufanya Maamuzi ni sawa na Kutaka Kujenga Ukuta badala ya Kuziba Ufa.
Pata Nakala Yako Sasa Hivi ili Uanze Kupata Pesa Zilizojificha!